Wednesday, October 15, 2008

JE WAJUA?????

Je,wajua kama bangi ndio mmea wenye majina mengi duniani?Baadhi ya majina ya mmea huo ni;bangi,ganja,marijuana,cigga,msuba,kijiti,ndum,sigara kubwa,msumali,puri,zengwe,mchicha na mengine mengi ambayo mimi siyafahamu!!

No comments:

vipi umeipenda blog yangu?