Monday, October 20, 2008

BIG UP A.Y

Ebwana leo nimeamua kumpa shavu mtu mzima AY kwa kutoa song la collabo na watoto wa ki-Nigeria yaani P-Square,siyo siri msela amepiga hatua moja ndefu sana ya kuelekea kwenye mafanikio ya kimuziki.I have 2 say big up 2 AY!!!

No comments:

vipi umeipenda blog yangu?